Testi musica canzoni
Testi musica cantanti italiani gratis
KiSwahili
(verse:1)
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
(verse:2)
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Sent by Carlos Andr Pereira da Silva Branco
Top 10 Testi su testi-musica-canzoni.it
Top 10 Cantanti su testi-musica-canzoni.it
Recensioni Ristoranti e locali e
Restaurants
Ultimi 10 ricerche su testi-musica-canzoni.it
Top 10 Album su testi-musica-canzoni.it
- Bordo & Connect-R
Nome Album : Unknown - Somerville Jimmy
Nome Album : Unknown - Addis Black Widow
Nome Album : The Darkside - Blue October
Nome Album : History For Sale - Blue October
Nome Album : History For Sale